Processing...

News Room

KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU

KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU
KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU
KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU
+3 More Images
KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU
KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU
Leo, tarehe 7 Septemba 2026, Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini - KCMC imepokea ugeni kutoka Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation (EGPAF) Makao Makuu Dar es Salaam na EGPAF Mkoa wa Kilimanjaro, kwa lengo la kutembelea na kujifunza namna KCMC inavyotekeleza huduma zinazohusiana na Mradi wa Afya Yangu (My Health). Ziara hiyo imelenga kukagua utekelezaji wa Mradi wa Afya Yangu, kubadilishana uzoefu na kuimarisha ushirikiano katika utoaji wa huduma za afya, hususani kupitia Wizara ya Afya na Ofisi ya Waziri Mkuu–TAMISEMI. Aidha, ugeni huo umelenga kupata uelewa zaidi kuhusu shughuli za mradi zinazotekelezwa KCMC, kutambua mafanikio yaliyopatikana pamoja na kujadili maeneo ya kuendeleza ushirikiano katika kuboresha na kuimarisha huduma za afya.

Related Stories

KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU
2026-09-07 00:00:00

KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU

READ ARTICLE
BANDA LA KCMC LAVUTIA WAGENI ARUSHA
2026-08-27 00:00:00

BANDA LA KCMC LAVUTIA WAGENI ARUSHA

READ ARTICLE
KCMC NA TUMBI WAWEKA NGUVU PAMOJA
2026-08-20 00:00:00

KCMC NA TUMBI WAWEKA NGUVU PAMOJA

READ ARTICLE

Join the Discussion

× Preview
🫀
CHANGIA JENGO LA MOYO
Saidia Ujenzi wa Cardiovascular Centre