WASHIRI NA WATUMISHI WA KKKT MARATHON 2026
Pichani ni watumishi wa GSF/KCMC wakiwa jijini Arusha leo, tarehe 20 Juni 2026, wakishiriki KKKT Marathon 2026 pamoja na maelfu ya washiriki kutoka maeneo mbalimbali nchini.
Ushiriki wao unaakisi dhamira ya KCMC na GSF ya kuhamasisha afya, kuimarisha mshikamano miongoni mwa watumishi, na kuunga mkono jitihada zenye kugusa maisha ya jamii kupitia michezo na shughuli za kijamii.
Related Stories