Processing...

News Room

IDARA YA DHARURA NA AJALI YASHEREHEKEA KWA PAMOJA

IDARA YA DHARURA NA AJALI YASHEREHEKEA KWA PAMOJA
IDARA YA DHARURA NA AJALI YASHEREHEKEA KWA PAMOJA
IDARA YA DHARURA NA AJALI YASHEREHEKEA KWA PAMOJA
+3 More Images
IDARA YA DHARURA NA AJALI YASHEREHEKEA KWA PAMOJA
IDARA YA DHARURA NA AJALI YASHEREHEKEA KWA PAMOJA
Leo tarehe 29/05/2026, Hospitali ya KCMC kupitia Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali imesherehekea siku ya Kimataifa ya Dharura na Ajali iliyoadhimishwa tarehe 27/05/2026 pamoja na Siku ya Kimataifa ya Wauguzi Duniani iliyoadhimishwa tarehe 12/05/2026 kwa njia ya kukata keki kama ishara ya kudumisha dhima ya mazingira salama na yenye ushirikiano kwa watoa huduma katika Idara hiyo. Maadhimisho haya yana umuhimu mkubwa kwani yanatoa nafasi ya kuthamini mchango wa kila mmoja katika utoaji wa huduma za afya, kuimarisha mshikamano na ushirikiano kazini, pamoja na kuongeza ari na kwa watumishi kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii. Aidha, sherehe hizi zinakumbusha umuhimu wa kujenga mazingira salama, yenye upendo na kuheshimiana mahali pa kazi kwa ustawi wa wagonjwa na watumishi kwa ujumla.

Related Stories

IDARA YA DHARURA NA AJALI YASHEREHEKEA KWA PAMOJA
2026-05-29 00:00:00

IDARA YA DHARURA NA AJALI YASHEREHEKEA KWA PAMOJA

READ ARTICLE
TANNA KCMC YAWASHA MSHUMAA WA UPENDO 2026
2026-05-29 00:00:00

TANNA KCMC YAWASHA MSHUMAA WA UPENDO 2026

READ ARTICLE
KCMC TUPO AICC
2026-05-09 00:00:00

KCMC TUPO AICC

READ ARTICLE

Join the Discussion

× Preview
🫀
CHANGIA JENGO LA MOYO
Saidia Ujenzi wa Cardiovascular Centre