Processing...

News Room

KCMC YAENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA AFYA

+8 More Images

Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini - KCMC imepokea ugeni kutoka World Vision Tanzania ukiambatana na wawakilishi wa Serikali ya Marekani kwa lengo la kufanya mazungumzo ya kitaalamu na kujifunza uzoefu wa KCMC katika utoaji wa huduma za afya. Ziara hiyo ni sehemu ya maandalizi ya utekelezaji wa Mpango wa Imani na Jamii (Faith & Community Initiative – FCI), unaolenga kuimarisha mifumo ya afya inayotegemea taasisi za kidini na jamii, pamoja na kuongeza ushirikiano kati ya wahudumu wa afya na jamii ili kuboresha upatikanaji wa huduma jumuishi za afya. Katika ziara hiyo, wageni wamepata fursa ya kujifunza uzoefu wa KCMC katika utoaji wa huduma za rufaa, ushauri wa kitaalamu na mafunzo ya hospitali. Aidha, walijadili mifumo ya utoaji huduma za afya, ushirikiano na wadau, mifumo ya rufaa, pamoja na fursa za kuimarisha huduma za afya zinazowafikia wananchi kwa ufanisi.

Related Stories

KCMC YAENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA AFYA
2026-10-14 00:00:00

KCMC YAENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA AFYA

READ ARTICLE
UJENZI WA WODI ZA TIBA YA MAGONJWA YA MFUMO WA FAHAMU WAANZA
2026-10-13 00:00:00

UJENZI WA WODI ZA TIBA YA MAGONJWA YA MFUMO WA FAHAMU WAANZA

READ ARTICLE
NAMNA KCMC INAVYOTUMIA AI NA 3D
2026-09-16 00:00:00

NAMNA KCMC INAVYOTUMIA AI NA 3D

READ ARTICLE

Join the Discussion

× Preview
🫀
CHANGIA JENGO LA MOYO
Saidia Ujenzi wa Cardiovascular Centre