Processing...

News Room

BURUDANI ZINAENDELEA

BURUDANI ZINAENDELEA
BURUDANI ZINAENDELEA
BURUDANI ZINAENDELEA
+3 More Images
BURUDANI ZINAENDELEA
BURUDANI ZINAENDELEA
Wakati tukisubiri kuwasili kwa mgeni rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, mamia ya wananchi wanaendelea kuburudishwa na vikundi mbalimbali vya burudani. Nyimbo za vikundi vya dini, vyama mbalimbali pamoja na ngoma za asili zinaendelea kupamba jukwaa, zikionesha utajiri wa tamaduni zetu na katika siku hii ya kihistoria ya uzinduzi wa Jengo la Tiba ya Mionzi KCMC.

Related Stories

UJENZI WA WODI ZA TIBA YA MAGONJWA YA MFUMO WA FAHAMU WAANZA
2026-10-13 00:00:00

UJENZI WA WODI ZA TIBA YA MAGONJWA YA MFUMO WA FAHAMU WAANZA

READ ARTICLE
NAMNA KCMC INAVYOTUMIA AI NA 3D
2026-09-16 00:00:00

NAMNA KCMC INAVYOTUMIA AI NA 3D

READ ARTICLE
KCMC NA TVOH YAWAANGAZIA WENYE JINSI TAT
2026-09-08 00:00:00

KCMC NA TVOH YAWAANGAZIA WENYE JINSI TAT

READ ARTICLE

Join the Discussion

× Preview
🫀
CHANGIA JENGO LA MOYO
Saidia Ujenzi wa Cardiovascular Centre