Processing...

News Room

KCMC 'Ni mazungumzo na wananchi'.

KCMC 'Ni mazungumzo na wananchi'.
KCMC 'Ni mazungumzo na wananchi'.
KCMC 'Ni mazungumzo na wananchi'.
+3 More Images
KCMC 'Ni mazungumzo na wananchi'.
KCMC 'Ni mazungumzo na wananchi'.
Asubuhi ya leo tarehe 24/04/2026 Uongozi wa Hospitali ya KCMC ukiongozwa na Prof.Gileard Masenga pamoja na Uongozi wa Tanlink Health Care Foundation ukiongozwa na Dkt. Siraj Mtulia umeongea na watanzania kuhusiana na ujenzi wa Taasisi ya Moyo KCMC na namna bora ya uchangiaji wa mradi huo uliofikia asilimia 40 ya ujenzi wake. @uhurufmtz

Related Stories

JUMUIYA YA WANAWAKE KATIKA NYUKLIA TANZANIA YAZURU KCMC
2026-08-13 00:00:00

JUMUIYA YA WANAWAKE KATIKA NYUKLIA TANZANIA YAZURU KCMC

READ ARTICLE
SNAKE ANTIVENOM ZAFIKA KCMC
2026-08-13 00:00:00

SNAKE ANTIVENOM ZAFIKA KCMC

READ ARTICLE
WATAALAMU WA DIALYSIS WAHITIMU KCMC
2026-08-13 00:00:00

WATAALAMU WA DIALYSIS WAHITIMU KCMC

READ ARTICLE

Join the Discussion

× Preview
🫀
CHANGIA JENGO LA MOYO
Saidia Ujenzi wa Cardiovascular Centre