Processing...

News Room

KCMC YAHAMASISHA LISHE BORA NA MAZOEZI KWA AFYA NJEMA

KCMC YAHAMASISHA LISHE BORA NA MAZOEZI KWA AFYA NJEMA
KCMC YAHAMASISHA LISHE BORA NA MAZOEZI KWA AFYA NJEMA
KCMC YAHAMASISHA LISHE BORA NA MAZOEZI KWA AFYA NJEMA
+8 More Images

Leo, tarehe 29 Oktoba 2026, Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini - KCMC imeadhimisha Wiki ya Lishe kwa kutoa elimu kuhusu umuhimu wa lishe bora pamoja na huduma za upimaji wa afya kwa wananchi na wafanyakazi katika viwanja vya hospitali. Katika maadhimisho hayo, wataalamu wa afya wa KCMC wamepata fursa ya kutoa elimu kwa washiriki kuhusu umuhimu wa kuzingatia lishe bora, kula mlo kamili na kufuata kanuni za ulaji unaofaa kwa ajili ya kulinda afya na kuzuia magonjwa yanayoweza kusababishwa na lishe isiyofaa. Aidha, maadhimisho hayo yalihusisha maonyesho ya vyakula vya asili vinavyopatikana katika jamii, kwa lengo la kuhamasisha matumizi ya vyakula hivyo kama sehemu ya ulaji bora. Maonyesho hayo yalitoa fursa kwa washiriki kujifunza namna vyakula vya asili vinavyoweza kuchangia upatikanaji wa virutubisho muhimu mwilini na kuimarisha afya kwa ujumla. Vilevile, washiriki wamepatiwa elimu kuhusu umuhimu wa kufanya mazoezi ya mwili mara kwa mara kama sehemu ya mtindo bora wa maisha. Mazoezi husaidia kuimarisha afya ya mwili, kudhibiti uzito, kuboresha mzunguko wa damu na kupunguza hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukiza. Hivyo, jamii inahimizwa kuzingatia lishe bora kwa kuambatanisha na mazoezi ya mwili ili kuimarisha afya na ustawi wa maisha. Kupitia maadhimisho haya, KCMC inaendelea kuhamasisha jamii kuzingatia lishe bora kwa kutumia vyakula vya asili, kufanya mazoezi ya mwili na kupima afya mara kwa mara kama hatua muhimu za kujikinga na magonjwa na kuimarisha afya kwa ujumla.

Related Stories

KCMC YAHAMASISHA LISHE BORA NA MAZOEZI KWA AFYA NJEMA
2026-10-29 00:00:00

KCMC YAHAMASISHA LISHE BORA NA MAZOEZI KWA AFYA NJEMA

READ ARTICLE
KCMC YAENDESHA UPASUAJI REKEBISHI WA USO, KINYWA NA TAYA
2026-10-22 00:00:00

KCMC YAENDESHA UPASUAJI REKEBISHI WA USO, KINYWA NA TAYA

READ ARTICLE
KCMC NA HOPE MOBILITY WALETA TABASAMU KWA WATU 300+
2026-10-19 00:00:00

KCMC NA HOPE MOBILITY WALETA TABASAMU KWA WATU 300+

READ ARTICLE

Join the Discussion

× Preview
🫀
CHANGIA JENGO LA MOYO
Saidia Ujenzi wa Cardiovascular Centre