BURUDANI ZINAENDELEA
Wakati tukisubiri kuwasili kwa mgeni rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, mamia ya wananchi wanaendelea kuburudishwa na vikundi mbalimbali vya burudani.
Nyimbo za vikundi vya dini, vyama mbalimbali pamoja na ngoma za asili zinaendelea kupamba jukwaa, zikionesha utajiri wa tamaduni zetu na katika siku hii ya kihistoria ya uzinduzi wa Jengo la Tiba ya Mionzi KCMC.
Related Stories