Processing...

News Room

KCMC YATATHIMINI MPANGO MKAKATI 2022-2026

KCMC YATATHIMINI MPANGO MKAKATI 2022-2026
KCMC YATATHIMINI MPANGO MKAKATI 2022-2026
KCMC YATATHIMINI MPANGO MKAKATI 2022-2026
+3 More Images
KCMC YATATHIMINI MPANGO MKAKATI 2022-2026
KCMC YATATHIMINI MPANGO MKAKATI 2022-2026
Leo, tarehe 6 Agosti 2026, Uongozi wa KKKT Makao Makuu imefanya kikao na Uongozi wa Shirika la Msamaria Mwema - GSF/KCMC. Kikao hiki kilikuwa na lengo la kutathmini utekelezaji wa Mpango Mkakati wa KKKT wa mwaka 2022–2026. Kikao hicho kimeongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa KKKT – Mipango na Maendeleo, Bw. Saimon Daffi (wakwanza kushoto), ambapo pamoja na mambo mengine, kimejadili mafanikio, changamoto na hatua zilizofikiwa katika utekelezaji wa mpango huo, pamoja na maeneo ya kuimarisha ili kufikia malengo yaliyowekwa.

Related Stories

KCMC YATATHIMINI MPANGO MKAKATI 2022-2026
2026-08-06 00:00:00

KCMC YATATHIMINI MPANGO MKAKATI 2022-2026

READ ARTICLE
25 KCCO ANIVERSARY
2026-08-06 00:00:00

25 KCCO ANIVERSARY

READ ARTICLE
MASHUJAA WA SARATANI MTAMBUKA WAKUTANA KCMC
2026-07-28 00:00:00

MASHUJAA WA SARATANI MTAMBUKA WAKUTANA KCMC

READ ARTICLE

Join the Discussion

× Preview
🫀
CHANGIA JENGO LA MOYO
Saidia Ujenzi wa Cardiovascular Centre