Processing...

20-02-2026 13:51:01 KCMC 1 min read

WAZIRI MKUU ZURU KCMC

News Image
News Image
News Image
News Image
News Image
News Image
News Image
News Image
News Image
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo amefanya ziara katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini - KCMC, kwa lengo la kuwajulia hali wagonjwa mbalimbali wanaoendelea kupatiwa matibabu hapa hospitalini. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu alipata fursa ya kuzungumza na wagonjwa pamoja na ndugu zao. Miongoni mwa wagonjwa aliowatembelea ni Mbunge wa Moshi Mjini Ibrahim Shayo, ambaye amelazwa hapa KCMC kufuatia ajali ya gari iliyotokea februari 18, 2026
Share:

Related News

Medical technology
2026-02-20 00:00:00

WAZIRI MKUU ZURU KCMC

Read Story →
Medical technology
2026-02-17 00:00:00

KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA APONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KCMC

Read Story →
Medical technology
2026-02-17 00:00:00

CPA. ELLEN MGOJI: INTERNET BANKING NI HITAJI, SIO CHAGUO TENA

Read Story →

Leave a Comment